Matokeo yote ya ubashiri wa mechi yanategemea matokeo ya mwishoni mwa mchezo kwa dakika 90 isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo. Hii inajumuisha muda wowote wa majeruhi au muda uliosimamishwa wakati wa mchezo lakini haijumuishi muda wa ziada, muda wa mikwaju ya penati baada ya mpira kwisha au goli la dhahabu. Msamaha wa sheria hii unahusiana na mechi za kimshkaji ambapo matokeo yote ya ubashiri ya mechi yataamuliwa kulingana na matokeo ya mwisho wakati mchezo unapomalizika bila kujali kama dakika 90 zote za mchezo zimekamilika.
Ikiwa muda wa mchezo utatofautiana kutoka dakika 90 basi sheria zilizowekwa zitatumika. Kwa mfano, mechi ya dakika 80 pia itajumuisha muda wa majeruhi na muda wa nyongeza, lakini sio muda wa ziada au mikwaju ya penati, isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Mechi ambazo muda wake ni chini ya dakika 45 au zaidi ya dakika 120 zitachukuliwa kuwa batili.
Ikiwa kuna vipindi tofauti vya muda (mfano, vipindi 3 vya dakika 30 kila kimoja), ubashiri utaendelea kwa vile muda wa kisheria wa mechi ni kati ya dakika 45 na dakika 120.
Matatizo yatakayojitokeza yatatatuliwa kwa busara ya Betradar.
Matokeo ya ubashiri ya Kipindi cha 1/2 yanatumia sheria ya dakika 45 za mchezo, ikiwa ni pamoja na muda wa majeruhi na muda wa nyongeza.
1X2
Bashiri Matokeo ya Mechi.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika.
Ongeza nafasi yako ya kushinda mara mbili
bashiri matokeo mawili kati ya matokeo matatu yanayowezekana katika mechi:
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika.
Hakuna Ubashiri wa Sare
Bashiri timu itakayoshinda mechi. Tiketi zitakuwa batili kama matokeo ya mechi ni sare.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika.
Sheria ya Handicap ya Ulaya (goli 1)
Bashiri matokeo ya mechi baada ya kutumika kwa sheria ya handicap spread.
Mf. Bayern Munich (-1), Sare (Bayern Munich -1), Borussia Dortmund +1, imepangwa kama ifuatavyo:
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika.
Sheria ya Handicap ya Ulaya (magoli 2)
Bashiri matokeo ya mechi baada ya kutumika kwa sheria ya handicap spread.
K.m Bayern Munich (-2), Sare (Bayern Munich -2), Borussia Dortmund +2, imepangwa kama ifuatavyo:
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika.
Sheria ya Handicap ya Asia
Tiketi zinawekwa kulingana na matokeo ya mwisho wa mchezo kwa kutumia mantiki ifuatayo:
Sheria ya Handicap Safu 0
Kama timu yoyote itashinda kwa kiwango chochote itaamuliwa kwa chaguo la ushindi. Ikitokea sare tiketi zote zitaamuliwa kama Push.
Sheria ya Handicap Safu 0.25
Iwapo timu inayotoa 0.25 imeanza:
Iwapo timu inayopatiwa 0.25 imeanza:
Sheria ya Handicap Safu 0.5
Ikiwa timu inayotoa 0.5 imeanza:
Iwapo timu inayopokea 0.5 imeanza:
Sheria ya Handicap Safu 0.75
Ikiwa timu inayotoa 0.75 imeanza:
Iwapo timu inayopokea 0.75 imeanza:
Sheria ya Handicap Safu 1.0
Ikiwa timu inayotoa 1.0 imeanza:
If the team that is receiving a 1.0 ball start:
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Matokeo Sahihi
Bashiri matokeo halisi mwishoni mwa muda wa kawaida.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Ushindi wa jumla
Bashiri ushindi wa jumla wa timu ya nyumbani, timu iliyo ugenini au kuwa mchezo utakwisha kwa sare.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Mchezo unavyoendelea
Bashiri timu ya kwanza kufunga goli na timu ambayo itashinda mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Hakuna Ubashiri kwa Timu ya Nyumbani
Ubashiri utabatilishwa endapo matokeo ya mechi yatakuwa ushindi kwa timu ya nyumbani.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Hakuna Ubashiri kwa Timu ya Ugenini
Ubashiri utabatilishwa endapo matokeo ya mechi yatakuwa ya ushindi kwa timu ya ugenini.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kufuzu
Bashiri timu ipi itafuzu kwa mzunguko unaofuata au kushinda fainali.
Je, mechi itafika hatua ya mikwaju ya penati?
Bashiri kama kutakuwa na mikwaju ya penati katika mechi hii.
Mechi itaamuliwa vipi hasa?
Bashiri timu ipi na kwa njia ipi timu itashinda, mfano, timu ya nyumbani katika muda wa nyongeza. Ubashiri huu unazingatia muda wa dakika 90 pamoja na muda wa nyongeza na mikwaju ya penati.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Magoli ya kujifunga yanahesabiwa katika matokeo ya ubashiri yote yaliyoorodheshwa hapo chini na kwa makusudi ya matokeo ya ubashiri ya timu yanatolewa katika upande uliofaidika na goli.
Jumla ya Magoli
Bashiri jumla ya magoli yatakayofungwa katika mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Ubashiri wa zaidi/chini
Tiketi zitaamuliwa kulingana na matokeo ya mwishoni mwa mchezo kwa kutumia mantiki hii:
Safu 2.0
Ubashiri chini ya magoli 2:
Ubashiri zaidi ya magoli 2:
Safu 2.25
Ubashiri chini ya magoli 2.25:
Bashiri zaidi ya magoli 2.25:
Safu 2.5
Bashiri magoli chini ya 2.5:
Bashiri magoli zaidi ya 2.5:
Safu 2.75
Bashiri magoli chini ya 2.75:
Bashiri magoli zaidi ya 2.75:
Safu 3
Bashiri magoli chini ya 3:
Bashiri magoli zaidi ya 3:
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu ya Nyumbani Kutoruhusu Goli
Bashiri timu ya nyumbani haitaruhusu goli.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu iliyo Ugenini Kutoruhusu Goli
Bashiri timu iliyo ugenini haitaruhusu goli.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu ipi itafunga goli
Bashiri timu ipi itafunga goli katika mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Goli Linalofuata
Bashiri timu ipi itafunga goli lingine katika mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika and the market has not been determined
Magoli witiri/shufwa
Bashiri matokeo ya mwisho ya magoli katika mchezo ama magoli yatakuwa namba witiri au shufwa.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla ya Magoli ya Timu ya Nyumbani
Bashiri timu ya nyumbani itafunga magoli mangapi katika mchezo huo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla ya Magoli ya Timu iliyo Ugenini
Bashiri timu ya ugenini itafunga magoli mangapi katika mchezo huo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu ya kwanza kufunga goli
Bashiri timu ipi itafunga goli la kwanza katika mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Timu ya mwisho kufunga goli
Bashiri timu ipi itafunga goli la mwisho katika mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla ya Magoli (Yote)
Bashiri idadi ya magoli yatakayofungwa katika mchezo huo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla Yote (Jumla)
Bashiri uwiano wa magoli yatakayopatikana katika mchezo kwa namba.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Muda wa ziada + goli Ndiyo/Hapana?
Bashiri kama kutakuwa na muda wa ziada pamoja na angalau goli moja lililofungwa katika muda wa ziada au hapana. Ubashiri utawekwa kama Hapana iwapo hakuna magoli yaliyofungwa katika muda wa ziada.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu zote Mbili Kufunga Magoli?
Bashiri iwapo timu zote mbili zitafunga magoli au hapana:
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Ubashiri wa Mchezo na Jumla ya Magoli
Bashiri jumla ya magoli ya timu zote na matokeo ya 1X2.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu zote mbili kufunga magoli na jumla
Bashiri kama timu zote zitafunga magoli angalau goli moja na matokeo ya mwisho yawe zaidi au chini ya jumla ya magoli yaliyowekwa
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Marejeo yoyote kwenye Kipindi cha Kwanza au Kipindi cha Pili. Matokeo ya ubashiri yanatambuliwa tu kulingana na matokeo yanayotokea katika nusu ya kipindi kinachohusika pamoja na muda wowote wa majeruhi/muda wa ziada ulioongezwa na waamuzi wa mchezo. Matukio yanayotokea katika muda wa nyongeza hayatahesabiwa isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Mapumziko/Mwisho wa mchezo
Bashiri timu itakayoongoza wakati wa mapumziko na mwishoni mwa mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu Kushinda Vipindi Vyote Viwili?
Timu inayohusika kufunga magoli zaidi kuliko timu pinzani katika vipindi vyote viwili; cha kwanza na cha pili.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Timu Kushinda Kipindi Chochote?
Bashiri timu inayohusika kufunga magoli mengi kuliko timu iliyo ugenini ama katika kipindi cha kwanza au cha pili.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Timu kufunga goli katika vipindi vyote viwili?
Bashiri timu inayohusika kufunga goli katika kila kipindi.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Timu kufunga magoli mengi zaidi katika kipindi fulani?
Bashiri kipindi ambacho timu inayohusika itafunga magoli mengi zaidi; cha kwanza au cha pili.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Matokeo ya ubashiri ya Timu Iliyofunga Magoli Zaidi katika Kipindi Fulani?
Ni katika kipindi gani cha mchezo magoli mengi yatafungwa?
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Matokeo Sahihi ya Kipindi cha Kwanza/Mwishoni mwa Mchezo
Bashiri matokeo halisi ya kipindi cha kwanza au mwishoni mwa mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Dakika 10 za mwanzo – 1x2
Bashiri matokeo ya dakika 10 za mwanzo za mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Muda wa goli la kwanza
Bashiri muda ambao goli la kwanza litafungwa.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Kona zinatolewa lakini zisizopigwa hazitaingia katika madhumuni haya. Kona zilizopigwa tena zitahesabiwa mara moja tu.
Ubashiri wa kona za mchezo
Bashiri timu itakayopiga kona nyingi zaidi kwenye mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kona za Handicap
Bashiri matokeo baada ya sheria ya handicap spread kutumiwa.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla ya Kona
Bashiri jumla ya kona zitakazopigwa katika mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kona Zote (Jumla)
Bashiri idadi ya jumla ya kona zitakazopigwa itanzia namba fulani hadi namba fulani kwenye mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kona Witiri/Shufwa
Bashiri iwapo idadi ya kona katika mchezo itakuwa namba witiri au shufwa. Ikiwa hakutakuwa na kona zilizopigwa ubashiri wote utahesabiwa kama Shufwa.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kona ya Kwanza
Bashiri timu gani itakuwa ya kwanza kupiga kona katika mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Kona ya Mwisho
Bashiri timu gani itakuwa ya mwisho kupiga kona katika mchezo
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Idadi ya kona za timu
Bashiri idadi gani ya kona zitapigwa na timu gani itahusika.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Alama za kadi zinaelezewa kama:
Kima cha juu cha idadi ya alama kinachoweza kutolewa kwa mchezaji mmoja hakijali kama mchezaji ameonyeshwa kadi mbili za njano kisha kadi nyekundu.
Timu ya Kwanza Kupata Kadi ya Njano
Bashiri timu ya kwanza kupata kadi ya njano katika mchezo. Katika tukio ambapo mchezaji mmoja au zaidi ameonyeshwa kadi kwa tukio hilohilo, mchezaji wa kwanza atakayeonyeshwa kadi na mwamuzi atapaswa kuwa mshindi kwa madhumuni ya kuweka utaratibu. Kadi zote za njano na nyekundu zinahesabiwa katika matokeo haya ya utabiri.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Jumla ya Kadi za Njano
Bashiri idadi ya kadi za njano zitakazotolewa katika mchezo. Ikiwa idadi ya ubashiri inafanana na matokeo basi ubashiri utakuwa batili.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla ya Kadi za Njano (Halisi)
Bashiri idadi halisi ya kadi za njano zinazotolewa katika mchezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kadi za Njano katika Mchezo
Bashiri timu itakayopata kadi nyingi zaidi za njano wakati wa mchezo katika muda wa kawaida
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Jumla ya Kadi za Njano
Bashiri jumla ya kadi za njano katika mchezo
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Kadi Zote za Njano (Jumla)
Bashiri idadi sahihi ya jumla ya kadi zote za njano katika mchezo
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Player Sent Off?
Bashiri kama mchezaji atatolewa nje wakati wa muda wa kawaida wa mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not comple
Mchezaji wa Timu ya Nyumbani Kutolewa Nje?
Bashiri kama mchezaji wa timu inayocheza nyumbani atatolewa nje wakati wa muda wa kawaida wa mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Mchezaji wa Timu iliyo Ugenini Kutolewa Nje?
Bashiri kama mchezaji wa timu iliyo ugenini atatolewa nje wakati wa muda wa kawaida wa mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Mfungaji wa Goli la Kwanza
Bashiri ni mchezaji gani atakuwa wa kwanza kufunga goli katika muda wa kawaida wa mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Mfungaji wa Goli la Mwisho
Bashiri ni mchezaji gani atakuwa mfungaji wa goli la mwisho katika muda wa kawaida wa mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Mfungaji wa Goli katika Muda Wowote
Bashiri mchezaji atakayefunga goli katika muda wa kawaida wa mchezo.
Live - settled if determined / Prematch - Void if match not completed
Katika tukio la kujitoa au kukosa sifa za mchezo, matokeo ya ubashiri yote yale ambayo bado hayajapata matokeo yake yatafanywa kuwa batili.
Katika tukio la Utembeaji matokeo ya ubashiri yote yatachukuliwa kuwa batili.
Katika tukio lolote kati ya haya yafuatayo tiketi zote zitabaki:
Matokeo ya Mchezo
Bashiri matokeo ya mechi.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Mchezo kwa Sheria ya Handicap
Bashiri mchezaji atakayeshinda baada ya sheria ya handicap spread kutumika.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Seti Sahihi ya Kushinda
Bashiri matokeo sahihi ya mechi katika seti.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Seti ya Sheria ya Handicap
Bashiri mchezaji atakayeshinda baada ya sheria ya handicap spread kutumika.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Mshindi wa Seti
Bashiri mchezaji atakayeshinda seti.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Matokeo Sahihi ya Seti
Bashiri matokeo sahihi ya seti katika michezo.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Nafasi Mbili za Ubashiri
Bashiri mshindi wa seti ya kwanza na matokeo ya mwisho.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Matokeo ya Jumla ya Mchezaji
Bashiri idadi ya jumla ya michezo ambayo mchezaji atashinda katika mechi.
Batili kama jumla itakuwa imepitwa.
Jumla – Idadi ya Seti
Bashiri idadi ya jumla ya seti zitakazochezwa katika mechi.
Batili isipokuwa kama mchezo umefikia seti ya mwisho.
Jumla – Idadi ya Michezo
Bashiri idadi ya jumla ya michezo itakayochezwa katika mechi.
Batili kama jumla itakuwa imepitwa.
Seti – Mchezo kwa Sheria ya Handicap
Bashiri mchezaji atakayeshinda michezo mingi katika seti baada ya sheria handicap spread kutumika.
Batili isipokuwa kama seti itakuwa imemalizika
Jumla ya Seti
Bashiri idadi ya jumla ya michezo itakayochezwa katika seti.
Batili kama jumla itakuwa imepitwa.
Jumla ya Seti za Mchezaji
Bashiri idadi ya jumla ya michezo ambayo mchezaji atashinda katika seti.
Batili kama jumla itakuwa imepitwa.
Mchezaji Atakayeshinda Seti?
Bashiri kwamba mchezaji ama atashinda au atapoteza seti.
Batili isipokuwa kama matokeo yatakuwa yameshaamuliwa.
Mchezo wa Ziada?
Bashiri kwamba kutachezwa mchezo wa ziada endapo seti itakuwa 6-6.
Itabatilishwa endapo matokeo yatakuwa yameshaamuliwa.
Seti ya 6:0?
Bashiri kwamba kutatokea au hakutatokea ushindi wa seti wa 6:0 kwa mchezaji yeyote katika mechi.
Itabatilishwa ikiwa matokeo yameshaamuliwa.
Michezo Witiri/Shufwa
Bashiri kwamba idadi ya michezo itakayochezwa itakuwa namba witiri au shufwa.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika.
Mchezaji kushida michezo x na y ya seti
Bashiri mchezaji atakayeshinda michezo miwili ya seti.
Itabatilishwa ikiwa matokeo yameshaamuliwa.
Mshindi wa Mchezo/Matokeo ya Mchezo/Matokeo ya Mchezo au Mchezo wa Ziada/Mchezo kuwa Sare
Matokeo gani yatatokea kwenye mchezo katika seti.
Itabatilishwa kama mchezo hautamalizika.
Matokeo ya ubashiri yote ya michezo IKIJUMUISHA muda wa ziada isipokuwa kama itaelezwa katika sheria za.
Push ya njia 2 za matokeo ya ubashiri unaotumiwa isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Urejeaji wowote wa Kipindi cha Kwanza mpaka Robo 1& 2, wowote wa Kipindi cha Pili mpaka Robo 3 & 4.
Matokeo ya ubashiri yanaamuliwa tu kwa ufungaji katika kipindi kinachohusika (mf. Robo ya 1, Kipindi cha 2 n.k.) bila kujumuisha alama zilizopatikana katika vipindi vingine katika muda wa kawaida na muda wa ziada.
Matokeo ya mchezo
Bashiri matokeo ya mchezo.
Jumuisha na ya muda wa ziada
1X2
Bashiri matokeo ya mchezo bila ya kujumuisha muda wa ziada.
Void if match is not completed
Hakuna Ubashiri wa Sare
Bashiri timu gani itashinda mchezo. Ubashiri unakuwa batili iwapo matokeo ya mchezo ni sare.
Ikiwa ni pamoja na matokeo ya muda wa ziada, void if match is not completed
Mtawanyiko wa Alama
Bashiri matokeo ya mechi baada ya mtawanyiko wa alama kutumiwa.
Ikiwa ni pamoja na alama za muda wa ziada, void if match is not completed
Sheria ya Handicap ya Ulaya
Bashiri matokeo ya mechi baada ya sheria ya handicap kutumiwa katika matokeo ya mwisho bila ya kujumuisha muda wa ziada.
Void if match is not completed
Ushindi wa Jumla
Bashiri ushindi wa jumla wa timu ya nyumbani au wa timu iliyo ugenini.
Ukijumuisha magoli ya muda wa ziada, void if match is not completed
Kipindi cha Kwanza/Kipindi cha Pili
Bashiri matokeo ya mchezo kwa vipindi vyote, cha kwanza na cha pili bila ya kujumuisha muda wa ziada.
Void if match is not completed
Je, Kutakuwa na Muda wa Ziada?
Bashiri kwamba mchezo utakwenda mpaka katika muda wa ziada au hapana.
Void if match is not completed
Jumla
Bashiri idadi ya jumla ya pointi zitazopatikana katika mechi.
Ikiwa ni pamoja na muda wa ziada, void if match is not completed
Jumla ya AAMS
Bashiri idadi ya jumla ya pointi zitakazopatikana katika mechi bila kujumuisha muda wa ziada (Utaratibu wa AAMS)
Void if match is not completed
Jumla ya njia - 3
Bashiri iwapo jumla ya idadi za pointi katika mchezo bila kujumuisha muda wa ziada itakuwa zaidi, chini au sawa na ile iliyotengwa
Void if match is not completed
Jumla ya Ushindi
Bashiri uwiano wa jumla ya idadi ya pointi zilizopatikana katika mechi.
Void if match is not completed
Jumla ya Timu ya Nyumbani
Bashiri idadi ya jumla ya pointi zitakazopatikana katika mchezo kwa timu ya nyumbani.
Void if match is not completed
Jumla ya Timu iliyo Ugenini
Bashiri idadi ya jumla ya pointi zitakazopatikana katika mchezo kwa timu iliyo ugenini.
Void if match is not completed
Witiri/Shufwa
Bashiri iwapo jumla ya alama zilizopatikana katika mechi zitakuwa namba witiri au shufwa.
Ikiwa ni pamoja na alama za muda wa ziada, void if match is not completed
Robo Iliyokuwa na Pointi Nyingi Zaidi
Bashiri robo ipi ya mchezo pointi nyingi zaidi zitapatikana bila kujumuisha muda wa ziada.
Void if match is not completed
Ubashiri wa Mchezo na Jumla
Bashiri jumla ya pointi na mshindi wa mchezo wa njia – 2.
Ikiwa ni pamoja na alama za muda wa ziada, void if match is not completed
Mubashara
Matokeo ya ubashiri ya michezo HAYANA muda wa ziada isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Katika matokeo ya ubashiri ya njia -2 sheria ya Push itatumika isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Urejeaji wowote wa Kipindi cha Kwanza mpaka Robo 1& 2, wowote wa Kipindi cha Pili mpaka Robo 3 & 4.
Matokeo ya ubashiri yanaamuliwa tu kwa ufungaji katika kipindi kinachohusika (mf. Robo ya 1, Kipindi cha 2 n.k.) bila kujumuisha pointi zilizopatikana katika vipindi vingine katika muda wa kawaida na muda wa ziada.
Matokeo ya Mchezo
Bashiri matokeo ya mchezo.
Bila kujumuisha alama za muda wa ziada, void if match is not completed
Matokeo ya Mchezo (kujumuisha muda wa ziada)
Bashiri matokeo ya mchezo baada ya muda wa ziada.
Void if match is not completed
Hakuna Matokeo ya Sare
Bashiri timu gani itashinda mechi. Ubashiri ni batili iwapo matokeo ya mchezo ni sare./p>
Bila kujumuisha alama za muda wa ziada, void if match is not completed
Sheria ya Handicap ya Asia
Bashiri matokeo ya mchezo baada ya sheria ya handicap kutumiwa katika matokeo ya mwisho.
Void if match is not completed
Sheria ya Handicap ya Asia ikijumuisha muda wa ziada
Bashiri matokeo ya mchezo baada ya sheria ya handicap kutumiwa katika matokeo ya mwisho ikiwa ni pamoja na muda wa ziada.
Void if match is not completed
Ubshiri wa Mchezo wa AAMS
Bashiri matokeo ya mchezo (utaratibu wa AAMS)
Void if match is not completed
Je, Kutakuwa na Muda wa Ziada?
Bashiri endapo mechi itakwenda au haitakwenda katika muda wa ziada.
Void if match is not completed
Je, timu itashinda mpira wa juu
Bashiri timu ipi itashinda mpira wa juu.
Void if match is not completed
Jumla
Bashiri jumla ya idadi ya pointi zitakazopatikana katika mechi
Void if match is not completed
Matokeo kwa mechi nzima, ikijumuisha muda wa ziada
Bashiri jumla ya idadi ya pointi zilizopatikana katika mechi nzima ikijumuisha na muda wa ziada.
Void if match is not completed
Jumla ya AAMS
Bashiri jumla ya idadi ya pointi zilizopatikana katika mechi (utaratibu wa AAMS)
Void if match is not completed
Witiri/Shufwa
Bashiri kama jumla ya idadi ya pointi zitakazopatikana katika mechi zitakuwa namba witiri au shufwa.
Void if match is not completed
Witiri/Shufwa ikiwa ni pamoja na muda wa ziada
Bashiri kama jumla ya idadi ya pointi zitakazopatikana katika mechi zitakuwa namba witiri au shufwa ikiwa ni pamoja na muda wa ziada.
Void if match is not completed
Jumla ya Timu ya Nyumbani
Bashiri jumla ya idadi ya pointi katika mchezo itakazopata timu ya nyumbani.
Void if match is not completed
Jumla ya Timu ya Nyumbani ikijumuisha muda wa ziada
Bashiri jumla ya idadi ya pointi itakazopata timu ya nyumbani ikijumuisha muda wa ziada.
Void if match is not completed
Jumla ya Timu iliyo Ugenini
Bashiri jumla ya idadi ya pointi katika mchezo itakazopata timu iliyo ugenini.
Void if match is not completed
Jumla ya Timu iliyo Ugenini ikijumuisha na muda wa ziada
Bashiri jumla ya idadi ya pointi itakazopata timu iliyo ugenini ikijumuisha muda wa ziada.
Void if match is not completed
Mbio hadi Pointi x ikijumuisha muda wa ziada
Mbio kufika pointi X (ikijumuisha muda wa ziada) Bashiri timu ambayo itashinda mbio kufika pointi X.
Ikiwa mechi inakwisha kabla ya timu yoyote kufikia pointi X, soko hili linachukuliwa kuwa batili.
Kupata pointi Xth ikijumuisha muda wa ziada
Bashiri timu ipi itapata pointi Xth ya mchezo.
Ikiwa mechi itakwisha kabla ya pointi Xth kufikiwa, ubashiri huu unachukuliwa kuwa batili.
Matokeo ya ubashiri yote ya mechi yanategemea matokeo ya mchezo bila kujumuisha muda wa ziada iwapo utachezwa isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Katika matokeo ya ubashiri ya njia mbili sheria ya Push inatumika isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Matokeo ya Mchezo
Bashiri matokeo ya mechi.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed.
Njia – 2 (ikiwa ni pamoja na muda wa ziada)
Bashiri matokeo ya mechi baada ya muda wa ziada na mikwaju ya penati.
Void if match is not completed
Matokeo Mawili
Bashiri matokeo mawili kati ya matokeo matatu katika mechi:
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Hakuna Ubashiri wa Sare
Bashiri timu ipi itashinda mechi. Ubashiri ni batili ikiwa matokeo ya mechi ni sare.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Sheria ya Handicap ya Ulaya
Bashiri matokeo ya mchezo baada ya sheria ya handicap kutumika.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Uwiano wa Magoli
Bashiri matokeo ya mchezo baada ya sheria ya handicap spread kutumiwa.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Jumla
Bashiri jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa katika mechi.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Jumla ya Uwiano (ikijumuisha muda wa ziada)
Bashiri matokeo ya magoli ya mechi yatakayofungwa ikiwa ni pamoja na muda wa ziada na mikwaju ya penati.
Void if match is not completed
Matokeo ya ubashiri ya Jumla ya Timu
Bashiri idadi ya magoli yatakayofungwa na timu inayohusika.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Timu Zote Mbili Kufunga Magoli
Bashiri kuwa timu zote zitafunga magoli au hazitafunga:
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Jumla ya Timu ya Nyumbani
Bashiri jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa katika mchezo na timu ya nyumbani.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Jumla ya Timu iliyo Ugenini
Bashiri jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa katika mchezo na timu iliyo ugenini.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Goli Litakalofuata
Bashiri timu gani itafunga goli linalofuata katika mchezo.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Timu ya Nyumbani Kutoruhusu Goli
Bashiri timu ya nyumbani kutoruhusu goli lolote.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Timu iliyo Ugenini Kutoruhusu Goli
Bashiri timu iliyo ugenini kutoruhusu goli lolote.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Idadi Sahihi ya Magoli
Bashiri idadi sahihi ya magoli katika mchezo.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Kipindi ambapo magoli mengi zaidi yalifungwa
Bashiri kipindi gani cha mchezo magoli mengi zaidi yatafungwa.
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Magoli ya Witiri/Shufwa
Bashiri iwapo jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa katika mechi yatakuwa namba witiri au shufwa. Iwapo hakuna magoli yaliyofungwa ubashiri wote utawekwa kama Shufwa
Bila kujumuisha muda wa ziada na magoli ya mikwaju ya penati, void if match is not completed
Magoli ya Witiri/Shufwa (ikiwa ni pamoja na mudawa ziada na mikwaju ya penati)
Bashiri iwapo jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa katika mechi ikiwa ni pamoja na muda wa ziada na mikwaju ya penati yatakuwa namba witiri au shufwa.
Void if match is not completed
Matokeo ya ubashiri yote ya mechi yanategemea matokeo yasiyojumuisha muda wa ziada uliochezwa isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo.
Katika matokeo ya ubashiri ya njia – 2 sheria ya Push inatumika isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo.
Matokeo ya Mchezo
Bashiri matokeo ya mchezo.
Bila Kujumuisha Muda wa Ziada, void if match is not completed
Nafasi Mbili za Ubashiri
Bashiri matokeo mawili kati ya matokeo matatu yanayowezekana katika mechi:
1X Iwapo matokeo ya muda wa kawaida ni ama ushindi wa timu ya nyumbani au sare chaguo hili ni mshindi.
12 Iwapo matokeo ya muda wa kawaida ni ama ya ushindi kwa timu ya nyumbani au ushindi kwa timu iliyo ugenini chaguo hili ni mshindi.
X2 Iwapo matokeo ya muda wa kawaida ni ama sare au ushindi kwa timu iliyo ugenini chaguo hili ni mshindi.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Hakuna Ubashiri wa Sare
Bashiri timu ipi itashinda mchezo. Ubashiri utakuwa ni batili iwapo matokeo ya mchezo ni sare.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Uwiano wa Magoli
Bashiri matokeo ya mechi baada ya kutumika kwa sheria ya handicap kutumiwa.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Ushindi wa Jumla
Bashiri mawanda ya ushindi wa timu ya nyumbani au timu iliyo ugenini.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Ubashiri wa Mchezo na Jumla
Bashiri jumla ya pointi na matokeo ya mchezo.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Kipindi cha Kwanza/Kipindi cha Pili
Bashiri matokeo ya mchezo wakati wa kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Jumla
Bashiri jumla ya idadi ya magoli yaliyofungwa katika mchezo.
yaliyofungwa katika mchezo, void if match is not completed
Magoli ya Witiri/Shufwa
Bashiri iwapo jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa katika mchezo yatakuwa katika namba witiri au shufwa. Iwapo hakutakuwa na magoli yaliyofungwa ubashiri wote utawekwa kama Shufwa
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Kipindi chenye Magoli Mengi Zaidi
Bashiri ni kipindi kipi cha mchezo magoli mengi zaidi yatafungwa.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Matokeo ya Jumla ya Timu
Bashiri jumla ya idadi ya magoli yaliyofungwa katika mechi na timu inayohusika.
Bila kujumuisha muda wa ziada, void if match is not completed
Kupata pointi Xth ikiwa ni pamoja na muda wa ziada
Bashiri timu ipi itakayopata pointi Xth katika mchezo.
Iwapo mchezo utamalizika kabla ya kufikiwa kwa pointi Xth, utabiri huu unapaswa kuchukuliwa kuwa batili.
Mbio mpaka pointi X ikiwa ni pamoja na muda wa ziada
Mbio mpaka pointi X (ikiwa ni pamoja na muda wa ziada) Bashiri timu ipi itashinda mbio kufikia pointi X.
Iwapo mechi itamalizika kabla ya timu yoyote kufikia pointi X, utabiri huu utachukuliwa kuwa batili.
Matokeo ya ubashiri ya mchezo yataamuliwa na matokeo baada ya kima cha juu cha seti 5 isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo. Seti za dhahabu hazihesabiwi kwa madhumuni ya utaratibu huu.
Matokeo ya mechi
Bashiri matokeo ya mechi.
Void if match is not completed
Mtawanyiko wa Pointi
Bashiri matokeo ya mechi baada ya sheria ya mtawanyiko wa pointi kutumiwa.
Void if match is not completed
Alama sahihi ya kuweka
Bashiri alama halisi ya mechi katika seti.
Void if match is not completed
Seti ya 1 kwa Sheria ya Handcap
Bashiri matokeo ya seti ya kwanza baada ya kutumika kwa sheria ya handicap spread.
Void if match is not completed
Mshindi wa Seti
Bashiri mshindi wa seti.
Void if match is not completed
Jumla
Bashiri idadi ya jumla ya pointi ambazo zitachezwa katika mechi.
Void if match is not completed
Jumla – Idadi ya Seti
Bashiri idadi ya jumla ya seti ambazo zitachezwa katika mechi.
Void if match is not completed
1 - Jumla
Bashiri matokeo ya mechi
Void if match is not completed
Seti Ngapi Zitapita Ukomo wa Alama
Bashiri ni katika seti ngapi pointi za ziada zitachezwa.
Void if match is not completed
Seti ya 4 inachezwa?
Bashiri kama seti ya nne itachezwa au haitachezwa.
Void if match is not completed
Seti ya 5 inachezwa?
Bashiri kama seti ya tano itachezwa au haitachezwa.
Void if match is not completed
Seti ya 1 – Witiri/Shufwa
Bashiri kama jumla ya idadi ya pointi zilizopatikana katika seti ya kwanza zitakuwa namba witiri au shufwa.
Void if match is not completed
Match Result
Predict the result of the match
Void if match is not completed
Point Spread
Predict the result of the match after the point spread has been applied.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
Correct set score
Predict the exact score of the match in set.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
1st Set Handicap
Predict the result of the first set after the handicap spread has been applied.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
Set Winner
Predict the winner of the set.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
Total
Predict the total number of points that will be played in the match.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
Total – Number of Sets
Predict the total number of sets that will be played in the match.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
1st - Total
Predict the result of the match.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
How many Sets will Exceed Score Limit
Predict in how many sets extra points will be played
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
4th Set Played?
Predict whether a fourth set will be played or not.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
5th Set Played?
Predict whether a fourth set will be played or not.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
Who Scores the Xth point
Predict which team will score Xth point of the match.
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
Which team wins the race to X points
Predict which team will will the race to the Xth point
Void if match is not completed / Settle if the market has been determined
All match markets are based on the result including extra innings if played unless otherwise stated.
Results will be settled in accordance with the official result of the match as declared by the governing body of the tournament. This will include all markets listed. For example if a match is rained off in the 6th inning and an official result of 7-4 is declared the Away Team Under 4.5 runs and Winning Margin of 3 would be settled as winning selections.
Match Result
Predict the result of the match.
Void if match is not completed
1X2
Predict the result of the match excluding extra innings.
Void if match is not completed
Points Spread
Predict the result of the match after the points spread has been applied.
Void if match is not completed
Totals
Predict the number of runs scored in the match.
Void if match is not completed
Home Team Totals
Predict the number of runs scored in the match by the home team.
Void if match is not completed
Away Team Totals
Predict the number of runs scored in the match by the away team.
Void if match is not completed
Odd/Even
Predict whether the total number or runs scored in the match will be an odd or even number.
Void if match is not completed
Will There Be Overtime?
Predict whether or not extra innings will be played.
Void if match is not completed
Match Result
Predict the result of the match.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
1X2
Predict the result of the match excluding extra innings.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika (Excludes overtime)
Points Spread
Predict the result of the match after the points spread has been applied.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika / Settle if the market has been determined
Winning Margins
Predict the winning margin of the home team or the away team.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Totals
Predict the number of runs scored in the match.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika / Settle if the market has been determined
Home Team Totals
Predict the number of runs scored in the match by the home team.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika / Settle if the market has been determined
Away Team Totals
Predict the number of runs scored in the match by the away team.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika / Settle if the market has been determined
Odd/Even
Predict whether the total number or runs scored in the match will be an odd or even number.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Will There Be Overtime?
Predict whether or not extra innings will be played.
Ubatilishaji utafanyika ikiwa kipindi chochote cha mchezo hakitakamilika
Who Scores the Xth point
Predict which team will score Xth point of the match.
If the innings ends before the Xth point is reached (ind, extra innings) the market is considered void
Which team wins the race to X points
Predict which team will will the race to the Xth point.
If the innings ends before the Xth point is reached (ind, extra innings) the market is considered void