07:07:04

Country Flag

Jinsi ya kucheza SIMULATED LEAGUE

Maelezo

Simulated Reality League ni mchezo mpya wa kuchezeshwa na kompyuta ambao una chaguzi za kubashiri kabla ya michezo kuanza na michezo ikiwa inaendelea kuchezwa (live). Unaweza kupata mchezo huu mpya kutoka kwenye menyu ya Orodha ya Michezo katika menyu ya Soka. Mchezo huo unahusisha ligi kutoka Uingereza, Ujerumani, Italia, Uhispania na ligi zingine nyingi. Kila mchezo huchezwa katika hitimisho la dakika 90 na unaweza kubashiri katika timu zako uzipendazo, kuangalia takwimu za mechi na misimamo ya ligi na hata kufuatilia ubashiri wako Moja kwa moja kwa michezo inayoendelea kuchezwa.

Sheria za Kubashiri

Vigezo na Masharti vya michezo halisi ya mpira wa miguu pia vinatumika katika Simulated Reality League. . Michezo itadhibitishwa kutoka https://sportcenter.sir.sportradar.com/simulated-reality

Kwa kuongezea ufuatiliaji wa mchezo unavyochezwa kutoka kwenye Mechi inayoendelea kuchezwa (Live), watumiaji wanaweza kutazama matokeo ya nyuma kutoka kwenye Simulated Reality League. MATOKEO

Hitilafu

Kulikuwa na tatizo!

ENDELEA
amana imefanywa

No deposits available

ENDELEA
preload